Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Judicial Service Commission

Welcome note

Prof. Elisante Ole Gabriel
Prof. Elisante Ole Gabriel
Secretary

Kwa niaba ya Menejimenti na watumishi wote wa Tume ya Utumishi wa Mahakama,ninayo furaha kuwakaribisha kwenye Tovuti yetu mpya ambayo imetengenezwa kwa lengo la kuufahamisha Umma juu ya kazi zinazofanywa na Tume ya Utumishi wa Mahakama ikiwemo uwepo wa Kamati za Maadili ngazi za Mikoa na Wilaya zinazofanya kazi kwa ufanisi mkubwa na mwananchi yeyote mwenye malalamiko yanayohusiana na Maadili asisite kuwasilisha malalamiko yake kwa maandishi. 

Imetolewa na:-

Prof Ibrahim Juma,

Mwenyekiti Tume ya Utumishi wa Mahakama.