Tovuti italinda faragha na usalama wa wanaotembelea, haitokusanya wala kutoa taarifa binafsi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binafsi wa kutoa taarifa.

Tovuti hii ina viungo kwenda tovuti nyingine za Serikali ambazo kwa namna moja au nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wake wa taarifa pia kanuni za faragha zinaweza kutofautiana na za kwetu. Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunakushauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.

Mabadiliko ya Sera ya Faragha

Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, tutaweka taarifa iliyohuishwa mara moja katika ukurasa. Aidha, tunashauri upitie ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizohuishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu