Tahadhari ya janga la Korona


Katibu wa Tume ya Utumishi wa mahakama amewataka Watumishi waTume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na watanzania wote kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya Virusi vya Korona wakati huu ambao dunia inakabiliwa na janga hilo la kiafya ikiwa ni pamoja na kunawa mikono, kutumia vitakasa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka misongamano