ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA HAKIMU MKAZI


Sehemu ya Wasailiwa  Kada ya Hakimu Mkazi wakiwa kwenye Usaili kwa njia ya Kielekitroniki uliofanyika Chuo cha  Uhasibu (Daressalaam) jana tarehe 18 Disemba, 2025. Usaili wa aina hii unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini mpaka Tarehe 23/12/2025