ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA MLINZI
Sehemu ya waombaji wa nafasi za kazi Kada ya Mlinzi wakiwa kwenye Usaili kwa njia ya Kielekitroniki uliofanyika Chuo cha Uhasibu (Dar es salaam) leo tarehe 22 Disemba, 2025. Usaili wa aina hii unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini mpaka Tarehe 23/12/2025

