MKURUGENZI WA HUDUMA ZA TAASISI AKIONGEA NA WAOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI KADA YA UDEREVA.


Mkurugenzi wa huduma za Taasisi Tume ya Utumishi wa Mahakama,Ndugu Rickneville Mwanri akiongea na waombaji wa nafasi za kazi Kada ya Udereva mara baada ya Usaili kwa njia ya Kieletroniki uliofanyika katika chuo cha Uhasibu ( Dar es salaam) leo tarehe 22 Disemba, 2025.