USAILI AWAMU YA PILI KADA YA HAKIMU MKAZI II
Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Mhe. Dkt. Gerlad Ndika (Katikati) akitoa maelekezo kwa walioomba kazi kada ya Hakimu Mkazi II kabla ya kuanza kwa Usaili awamu ya pili katika ukumbi wa Mikutano wa Kituo Jumuishi Temeke Jijini Dar es salaam leo tarehe 05 Januari, 2025. Wengine ni Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania.

