WATUMISHI WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA WAPEWA MAFUNZO MAALUM YA AFYA.
Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wakipatiwa mafunzo maalum kuhusu magonjwa yasiyoambukiza pamoja na maambukizi ya VVU/UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa watumishi mahali pa kazi na kuongeza uelewa kuhusu kinga, utambuzi wa mapema na huduma sahihi za afya.

