SEHEMU YA WASAILIWA WA KADA YA ULINZI WAKIWA KWENYE USAIILI WA MAHOJIANO ULIOFANYIKA KWENYE OFISI ZA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Sehemu ya Wasailiwa wa kada ya ulinzi wakiwa kwenye Usaili wa Mahojiano kwenye Ofisi za Tume ya Utumishi wa Mahakama jijini Dar es salam. Tume inafanya Usaili leo katika maeneo mbalimbali nchini.