USAILI AWAMU YA PILI KADA YA HAKIMU MKAZI II


Zoezi la usaili awamu ya pili limeendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (Mirathi na Ndoa) Temeke, Dar es Salaam ambapo Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Mhe. Dkt. Gerald Ndika, ( katikati) akiwaelekeza waombaji wa kada ya Hakimu Mkazi II taratibu za usaili leo tarehe 06 Januari, 2026.