USAILI AWAMU YA PILI KADA YA HAKIMU MKAZI II
Usaili wa awamu ya pili wa waombaji kazi kada ya Hakimu Mkazi II umeendelea kufanyika leo tarehe 07 Januari, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (Ndoa na Mirathi)Temeke, Dar es salaam.

