ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA UHASIBU
Sehemu ya Wasailiwa Kada ya Uhasibu wakiwa kwenye Usaili kwa njia ya Kielekitroniki uliofanyika Chuo cha Uhasibu (Daressalaam) jana tarehe 18 Disemba, 2025. Usaili wa aina hii unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini mpaka Tarehe 23/12/2025

