ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA AFISA UTUMISHI
Waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama hivi karibuni wakiwa kwenye Usaili wa awamu ya kwanza kwa njia ya Kielekitroniki uliofanyika Chuo cha Uhasibu Dar es salaam leo tarehe 16 Disemba, 2025. Usaili wa aina hii unafanyika katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia leo mpaka Tarehe 23/12/2025

