ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA MSAIDIZI WA OFISI
Sehemu ya Wasailiwa Kada ya Msaidizi wa Ofisi wakiwa kwenye Usaili kwa njia ya Kielekitroniki uliofanyika Chuo cha Uhasibu (Daressalaam) jana tarehe 18 Disemba, 2025. Usaili wa aina hii unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini mpaka Tarehe 23/12/2025

