Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi , Ili kupata tangazo la kazi tafadhali bofya [hapa]
Ili kupata fomu ya kielektroniki kwa ajili ya kutuma maombi, tafadhali bofya [hapa]