• ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA AFISA UTUMISHI

    ZOEZI LA USAILI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI KADA YA AFISA UTUMISHI

    Posted on: 19th Dec, 2025

  • WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA TUME NA MAHAKAMA

    Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Juma Hoimera na Naibu wake Zainabu Katimba wametembela Tume

    Posted on: 25th Nov, 2025

  • JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA NA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA AMUAPISHA MHE.DKT. SAMIA NA MAKAMU WAKE

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju amemuapisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Awamu ya Sita ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kipindi cha pili. Kadhalika, Mhe. Masaju amemuapisha Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla ya uapisho ilifanyika tarehe 03 Novemba, 2025 katika Uwanja wa Chamwino Ikulu jijini Dodoma na kushuhudiwa na wageni mbalimbali akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Marais na Viongozi kutoka Nchi mbalimbali za Afrika akiwemo Rais wa Burundi, Rais wa Zambia, Rais wa Msumbiji, Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia na kadhalika. Wengine waliohudhuria hafla hiyo ni Mabalozi kutoka Nchi mbalimbali, Viongozi wa Serikali, Bunge, Mahakama, Viongozi wa Dini na Wananchi kwa ujumla. Akizungumza mara baada ya uapisho, Mhe. Dkt. Samia aliwasihi Watanzania kuendelea kulinda itikadi ya umoja, amani na mshikamano ambapo alisema, “ndugu zangu wote tunaoitakia mema Nchi hii ‘Tanzania’ tumesikitishwa na vitendo vya uvunjifu wa amani, upotefu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini hasa kwenye Majiji na Miji, kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za Kitanzania na sio Utanzania.” Rais Samia alisema, Vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini vinaendelea kufuatilia na kuchunguza kwa undani zaidi kilichotokea na kuirudisha nchi katika hali iliyozoeleka kwa haraka. Aidha, Mhe. Dkt. Samia alizitaka Kamati ya Kitaifa ya Ulinzi na Usalama na Kamati za Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuanzia jana tarehe (03 Novemba, 2025) maisha ya wananchi yanarejea katika hali ya kawaida mara moja

    Posted on: 04th Nov, 2025

  • JAJI MKUU AWAAPISHA MAHAKIMU 89

    JAJI MKUU AWAAPISHA MAHAKIMU 89 JIJINI DODOMA

    Posted on: 08th Oct, 2025

  • MAHAKAMA KUSIMAMIA SHERIA KWA WAAJIRI WASIOWASILISHA MICHANGO YA WAFANYAKAZI

    JAJI MKIUU NA MWENYEKITI WA TUME ASEMA MAHAKAMA ITASIMAMIA SHERIA KWA WAAJIRI WASIOWASILISHA MICHANGO YA WAFANYAKAZI

    Posted on: 28th Aug, 2025

  • IBADA YA KUAGA MWILI

    Matukio mbalimbali wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkaguzi wa ndani wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, CPA Bahati Hezron Mwaipasi nyumbani kwa Marehemu Makuru Oysterbay Jijini Dodoma jana tarehe 21 Agosti, 2025.

    Posted on: 22nd Aug, 2025